AKILIWINNERS ni mradi wa Akilikubwa Digital Agency, unaolenga kuwezesha vijana kujiajili kwa kuwapa fursa, ujuzi na njia za kujipatia kipato halisi kupitia digital opportunities.
Earn Money by Marketing Real Projects. Become a Winner Today.
AKILIWINNERS ni Affiliate Project kutoka Akilikubwa Digital Agency iliyo chini ya AKILIKUBWA COMPANY LIMITED, inayompa kijana wa Kitanzania nafasi ya kupata kipato kwa kutangaza bidhaa na huduma za miradi iliyopo kwenye platform yetu.
More Info
About Akiliwinners, How it Works and Why you must Join
AKILIWINNERS ni mfumo wa affiliate marketing ulioundwa na Akilikubwa Digital Agency, iliyo chini ya AKILIKUBWA COMPANY LIMITED. Lengo lake ni kuwakusanya vijana wenye uwezo wa kutangaza, kushawishi, na kufanikisha upatikanaji wa wateja kwenye miradi mbalimbali iliyoshirikiana nasi.
Kupitia platform hii:
- Vijana hujiunga kama Winners
- Wanachagua project wanayotaka kuitangaza
- Wanapata dashboard ya ku-track mafanikio yao
AKILIWINNERS inawawezesha vijana kujiajiri, kupata kipato, na kujenga ujuzi wa digital marketing kwa vitendo.
How it Works
Jisajili
Tengeneza account yako kama Winner kwa dakika 2 tu.
Chagua Project
Browse miradi na chagua bidhaa/huduma unayoona unaweza kuitangaza.
Tangazi
Tumia mitandao ya kijamii, WhatsApp, au mbinu yoyote unayoijua kuwafikia wateja.
Leta Mteja
Ukifanikiwa kumsajili mteja kutumia huduma au kununua bidhaa kamisheni ni yako.
Lipwa
Pata malipo ya kila project kwa mujibu wa kamisheni iliyowekwa.
Why Join Akiliwinners
Winners
Big Winning Team of Top Digital Marketers and Sales Enginners
Goodam
Joined : 30 - 11 - 2024
sambokile kindeki
Joined : 05 - 09 - 2025
Hamisi Juma
Joined : 28 - 12 - 2025
Theresia
Joined : 28 - 12 - 2025
Rosh Richard
Joined : 03 - 10 - 2025
Francis Bigplan
Joined : 27 - 12 - 2025
ROBERT MDEMWA
Joined : 28 - 12 - 2025Projects
This are some of Products or Services which reach millions of customer via winners
Every project comes with:
- Kamisheni
- Maelekezo ya kutangaza
- Target ya wateja
- Performance metrics
Projects Categories
- Digital Services (apps, systems, online tools)
- Biashara za bidhaa
- Huduma za kampuni mbalimbali
- Kozi na mafunzo
- Events & programs
- Subscription-based services
About Us
Akilikubwa Digital Agency ni Sub-company iliyo chini ya Akilikubwa Company Limited iliyowekeza zaidi kwenye teknolojia kwa kujikita kwenye kutengeneza mifumo ya kidigitali, mobile Apps, Website, automation, AI solutions, na software za kusaidia biashara kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.